Kuza Ofisi ni nini?

Kuza Ofisi Na FINCA ni shindano maalum iliondaliwa na Benki ya FINCA kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wadogo kwa kuwapatia mtaji wa kukuza biashara zao.

Jinsi ya kushiriki

Ili kushiriki katika shindano hili ni rahisi mno – Unaweza kupakua fomu ya kushiriki kwa kubofya link iliopo hapo chini na kisha ufike katika tawi lolote la Benki ya FINCA lililopo Dar es Salaam na kufungua akaunti ukiwa na kiasi cha Sh. 20,000 tu

Washiriki – Round ya kwanza

Agatha Joseph

Chakula

Bugingo Emmanuel

Msafirishaji Mizigo

Josephine Josephat

Mavazi

Reuben Waya

Biashara ya Maji

Sarafina J. Okelo

Keki

Sadic Hassan

Boda boda

Tausi Khalfani

Genge

Yaliyojiri Wiki Hii

Ushawahi kuwaza ukipata Milioni 10 utazifanyia nini?

Oct 9, 2018

Ndoto za Kibiashara za Hanifa

Jul 13, 2018

Ndoto za Kibiashara za Said

Jul 13, 2018