Katika kipindi cha janga hili la CORONA kama Benki tumeendelea kuchukua tahadhari zote muhimu za kuwalinda wafanyakazi na wateja wetu ikiwemo wafanyakazi kuvaa barakoa, gloves, matawini tumeweka maji tiririka, sabuni na sanitizer kusafisha mikono. #Epukacorona