Jinsi ya kutofautisha na kupangilia kati ya fedha za biashara, matumizi na akiba
Jinsi ya kuweka mkopo katika malengo sahihi ili kupata mafanikio
Njia sahihi ya kujenga uaminifu kwa taasisi ya mikopo ili uweze kupata mkopo zaidi
Umuhimu wa kutoa huduma nzuri kwa wateja ili kuendesha biashara vizuri na kujiongezea wateja zaidi
Mali bila daftari hupotea bila habari… jinsi ya kutunza kumbukumbu ili kujua mzunguko na mpangilio mzima wa biashara kiujumla
Jijengee msingi wa kuweka akiba kidogokidogo kwa ajili ya malengo ya baadae au kukabili dharura
Kufungua akaunti ni rahisi. Fungua akaunti na FINCA Microfinance Bank Tanzania.
Je, unahitaji mkopo? Omba mkopo na FINCA Microfinance Bank Tanzania.
Jiunge na FINCA Microfinance Bank Tanzania kupata huduma bora za kifedha.
Pakua App yetu kwa ajili ya kupata elimu inayohusu masuala ya fedha, kujiwezesha.
Inapatikana
Playstore
Feel free to contact us in case of any inquiry or feedback
Bagamoyo Road, Plot No.34 8th Floor, TAN House, Victoria Area, Dar es Salaam Tanzania
Open Monday to Saturday From 07:00 AM to 18:00 PM
Bagamoyo Road, Plot No.34 8th Floor, TAN House, Victoria Area
P.O Box 78783 – Dar Es Salaam Tanzania P: +255 (22) 2212200 | M: info@fincatz.org
SONGA na FINCA © All Rights Reserved