Amani kwa Kila Mwanakikundi
Hutoa msaada wa kifedha wakati wa msiba, kifo au ulemavu wa kudumu kwa kila mwanachama.
Kua Pamoja
Na Mkopo wa Pamoja wa FINCA unaowezesha vikundi kupata mtaji kwa urahisi, marejesho nafuu, na msaada wa kukuza biashara pamoja.
Wekeza Kwenye Elimu yake Kiurahisi ……
Lipa ada ya shule bila stress kupitia Mkopo wa Ada kutoka FINCA wenye marejesho ya hadi miezi 12 na fursa ya kupata mikopo mengine sambamba na wa Ada.
Usiwaze kuhusu kuboresha miundo mbinu ya shule yako
Kopa mpaka TZS 150,000,000 na ulipe kidogo kidogo kwa kipindi cha mpaka miezi 36.
Ninawezaje kuweka akiba kwa usalama?
Kuhifadhi ni kama kukusanya vitu kwa ajili ya baadaye. Kuna njia mbili kuu za kuweka akiba: unaweza kuweka akiba nyumbani au kwenye akaunti ya benki.
Pamoja group loan
Pamoja loan ni mkopo wa kikundi kutoka benki ya FINCA wenye lengo la kuwawezesha wamiliki wa biashara ndogo ndogo ambao wameshindwa kufikiwa na huduma za kibenki.


