AKAUNTI YA HAKIKA (AKAUNTI YA MUAMALA AMBAYO INAKUFANYA KUWEKA AKIBA NA KUPATA FAIDA PIA)
Akaunti ya muamala ambayo inakufanya uweke akiba na kupata faida kubwa wakati unapoweka akiba kwa muda wa kipindi kmaalumu.
Mchakato wa kufungua akaunti wa papo hapo na usio na usumbufu
Inakuruhusu kutoa fedha kwa mwezi mmoja bila makato kupitia Matawi yake
Vipi kuhusu taarifa za Benki za kila mwezi bure? Fuatilia kwa urahisi miamala yako
Usalama wa kutosha ambao unakupa taarifa kwa SMS katika kila muamala unaofanywa kwenye akaunti yako
Kuonana na Meneja Uhusiano na kumfanya awe mlezi wako atakayesatua matatizo yoyote unayokabiliana nayo
Kupata kwa urahisi Mkopo wa FINCA
Hakuna ada za mwezi za uendeshaji