AKAUNTI YA MKWANJA (AKAUNTI ZA MIAMALA ZINAZOFANYA MAMBO MENGI KWA AJILI YAKO)
Fungua akaunti bila ya kiwango cha chini cha fedha za kufungulia
Hamisha fedha bila ya usumbufu kati ya Akaunti za FINCA na zisizo za FINCA au Mobile Money Wallet yako uliyoichagua
Usalama wa kutosha ambao unakupa taarifa kwa SMS katika kila muamala unaofanywa kwenye akaunti yako
Kuwa na njia nyingi za kupata fedha zako kupitia Tawi lililo karibu yako, FINCA Mobile na FINCA Wakala Express
Umepata au unahitaji Mkopo wa FINCA? Akaunti ya Mkwanja inakupa urahisi wa kulipa marejesho yako kwa haraka, mahali popote na wakati wowote
Akaunti za Mkwanja zinakupa huduma bora zaidi za kulipa bili zako za huduma au kufanya malipo yoyote kwa wafanyabiashara mbalimba kupitia Huduma za Benki Mtandaoni za FINCA
Vipi kuhusu Taarifa za Benki za kila mwezi bila malipo? Kufuatilia miamala yako kwa urahisi
Kuweza kuonana na Meneja Uhusiano na kumfanya awe mlezi wako atakayetatua matatizo yoyote yanayokukabili
Ungana na wanaolipa ada za chini kabisa katika soko wakati unapotoa fedha