AKAUNTI YA MTOTO (JE, WEWE NI MZAZI AU MLEZI? MFANYE MTOTO WAKO AWE MWEKA AKIBA MZURI TANGU AKIWA NA UMRI MDOGO)

Hakuna kitu kinachofanya ujisikie vizuri kama kuhisi kuandaa mustakabali bora kwa watoto wako, iwe posho, ada ya shule au gharama yoyote na kutumia kuhusiana na mtoto wako kadri anavyokua. FINCA Microfinance Bank inakupa fursa hiyo ya kupata hisia kupitia Akaunti ya Mtoto kwa kuwa utakuwa unaweka akiba kwa ajili ya mtoto wako na kumsaidia kuwa na matumizi mazuri ya fedha atakapokuwa mtu mzima.

  • Fungua akaunti bila ya kiwango chochote cha salio la kufungulia

  • Mchakato wa kufungua akaunti wa papo hapo na usio na usumbufu

  • Kupata fedha wakati wowote kwa matumizi yoyote

  • Inaweza kukabidhiwa kwa mtoto mara tu anapofikisha umri wa miaka 18