FINCA MICROFINANCE BANK INATOA AINA MBILI ZA MASULUHISHO YA MKOPO WA ELIMU:
MKOPO WA ELIMU KWA WAMILIKI WA SHULE
Je, wewe ni mmiliki wa shule? Usihofu FINCA Microfinance iko tayari kukusaidia, fika kwetu na tunaweza kukupa Mkopo wa hadi TZS 220,000,000 ili uweze kuendeleza shule yako.
MKOPO WA ADA YA SHULE
Hebu tuwekeze katika elimu yako na ya mtoto wako – jipatie ada ya shule ya hadi TZS 10,000,000/= na kamilisha masomo yako au watoto wako wakamilishe masomo yao.