JE, UKO KATIKA KUNDI LA WATU 5 – WATU 30?
JIPATIE MKOPO USIO NA DHAMANA KUPITIA BIDHAA YETU YA MKOPO WA KIKUNDI

  • Kila mtu katika kikundi anaweza kupata mkopo wa kati ya TZS 150,000/= hadi 5,000,000/=

  • Kila mwanakikundi anapaswa kuwa na biashara iliyoidhinishwa kihalali ambayo inaendeshwa kwa miezi isiyopungua 6

  • Wanachama wa kikundi wawe na umri wa miaka 18 na kuendelea

  • Kila mwanakikundi awe na kadi rasmi ya utambulisho

  • Kila mwanakikundi awe na barua rasmi ya utambuzi kutoka katika ofisi ya serikali ya mtaa iliyo karibu

  • Marejesho yanaweza kufanyika kupitia kwenye Matawi, FINCA Mobile au FINCA Express Wakala

  • Kipindi cha marejesho cha hadi miezi 12