Kuza Biashara yako ya Bajaji
FINCA inakupa nafasi ya kukuza biashara yako ya Bajaji pamoja na wanakikundi wenzio.
Timiza Ndoto zako na Mkopo wa Bajaji
Tunaimani tutatimiza ndoto zako iwe kuwa mmiliki wa Bajaji nyengine mpya au kukuza biashara yako.
Omba mkopo
Kutuma maombi ya mkopo kwetu ni mchakato wa moja kwa moja na unaofaa.
Anza maombi yako
Kutuma maombi ya mkopo kwetu ni mchakato wa moja kwa moja na unaofaa.