Mkopo kwa wamiliki wa shule

Mkopo wa haraka na nafuu kwa lengo la kuibadilisha shule yako

Pata mkopo unaohitaji ili kuendeleza, kuboresha shule yako, kuboresha miundombinu na kuifanya iwe na miundombinu bora ya kujifunzia.

Uhuru wa kifedha kwa wamiliki wa mashule

Furahia uhuru wa kifedha unaostahili kwa mkopo ulioundwa kwa ustadi kukidhi mahitaji yako.

  • Kipindi cha Neema
    Nufaika na kipindi cha neema kwa kulipa riba pekee inayokusaidia kuepuka adhabu za kuchelewesha marejesho.

  • Uidhinishaji wa haraka na wa muda mfupi
    Mchakato wa moja kwa moja na wa haraka kuanzia maombi ya mkopo mpaka kuidhinishwa.

  • Riba nzuri zenye ushindani
    Furahia viwango vya riba na ada zenye ushindani zinazolingana na malengo na matarajio yako ya kifedha.

  • Riba isiyobadilika
    Pata riba nzuri isiyobadilika baada ya kusaini mkataba inayopunguza gharama zisizotarajiwa wakati wa kuhudumia mkopo.

  • Bima nafuu ya mkopo
    Uhakika wa bima nafuu ya mkopo wako dhidi ya majanga yasiyotarjiwa kwa kipindi chote cha mkopo.

Upatikanaji wa haraka

Mkopo huu hauna vizuzi nia ni kuhakikisha unawafikia wamiliki wengi wa mashule. Ahadi yetu ya kutoa mikopo hii kwa haki na uwazi.

  • Umri
    Mkopaji ni lazima awe na umri wa miaka 18 au zaidi.

  • Wanaostahili
    Mkopo huu ni maalumu kwa watu wanaomiliki shule au vyuo binafsi kwa ajili ya kuendeleza na kuboresha shule zao.

  • Historia ya Mikopo
    Historia nzuri ya ulipaji wa mikopo.

  • Raia wa Tanzania
    Ili kupata mkopo huu mnufaika ni lazima awe raia wa Tanzania.

  • Maendeleo ya Shule
    Madhumuni ya mkopo yameainishwa kuwa ni uendelezaji au upanuzi wa shule.

  • Uendeshaji wa Shule
    Shule zinazostahiki lazima ziwe ndani ya eneo ambalo benki inafanya operesheni zake.

  • Vigezo na masharti
    Mkopo utaidhinishwa, masharti ya ziada yanaweza kutumikakatika kuhakikisha uhakika na uwazi kwenye utoaji wa mkopo huu

Omba mkopo

Kutuma maombi ya mkopo kwetu ni mchakato wa moja kwa moja na unaofaa.

  • 1

    Omba Mtandaoni
    Jaza fomu yetu rahisi ya maombi mtandaoni.

  • 2

    Pokea Simu
    Muhudumu wetu atakaupigia simu ndani ya masaa 24 kuhakiki baadhi ya taarifa kutoka kwako.

  • 3

    Tembelea letu
    tembelea letu kufungua akaunti na taratibu zaidi za mkopo.

  • 4

    Kupata mkopo
    Mkopo wako utakamilika ndani ya siku 5 za kazi endapo taratibu zote zitakuwa zimekamilika.

Anza maombi yako

Kutuma maombi ya mkopo kwetu ni mchakato wa moja kwa moja na unaofaa.


Maswali yaulizwayo mara kwa mara

Ili kushughulikia ombi lako la mkopo, tunahitaji nyaraka zifuatazo: Uthibitisho wa umiliki wa shule na vibali vya kuendesha shule.
Kiwango cha riba inategemea na kiasi cha mkopo kilichoombwa. Kwa maelezo zaidi tunapendekeza kutembelea tawi letu lililopo karibu nawe ambapo timu yetu itakuhudumia.

Tunafurahi kuzungumza nawe

Weka namba yako ya simu tukupigie