Mkopo wa mtu binafsi

Maalumu kwa ukuaji wa biashara yako na uchaguzi wa muda wa marejesho

Wezesha ukuaji wa biashara yako unaozingatia mahitaji ya biashara yako.

Unafuu wa kutatua changamoto kwa mkopo nafuu

Pata uhuru wa kifedha kwa mkopo binafsi maalumu kukidhi mahitaji ya biashara yako kwa urahisi na nafuu.

  • Uhuru wa muda wa marejesho
    Furahia urahisi wa kuchagua muda wa mkopo unaokufaa na uhuru wa marejesho wa mpaka miezi 36.

  • Chagua muda wa marejesho
    Chagua ratiba yako na muda ambao ungependa kufanya marejesho.

  • Maombi ya Haraka
    Maombi ya mkopo yanashughulikiwa kwa haraka na uidhinishaji wa mkopo.

  • Riba nafuu
    Nufaika na riba nafuu za mkopo kutoka FINCA.

  • Riba isiyobadilika
    Furahia kiwango cha riba isiyobadilika na kuongezeka baada ya kusaini mkataba wa mkopo wako.

  • Kinga ya bima
    Mkopo wako utakuwa na bima kukikinga dhidi ya majanga na yasiyotarajiwa.

Suluhisho binafsi

Pata suluhisho za kifedha kwa mkopo bifasi na jumuishi uliorahisishwa.

  • Umri
    Kupata mkopo huu ni lazima uwe na umri wa miaka kuanzia 18 na kuendela.

  • Uwepo wa biashara
    Uwe na biashara ambayo umeifanya kwa zaidi ya miezi 6.

  • Historia nzuri ya ulipaji wa mikopo
    Uwe na historia nzuri ya ulipaji wa mikopo itarahisisha kupata mkopo binafsi.

  • Raia wa Tanzania
    Kupata mkopo huu binafsi uwe raia wa Tanzania.

  • Umiliki wa biashara
    waombaji wa mkopo binafsi wawe na biashara halali inayoingiza kipato chenye uwezo wa marejesho.

  • Eneo la biashara
    Biashara iwe eneo la utendaji la tawi la FINCA.

  • Vigezo na masharti
    Mkopo huu utaambana na hatua za uidhinishaji, hivyo vigezo na masharti vitahusika.

Omba mkopo

Kutuma maombi ya mkopo kwetu ni mchakato wa moja kwa moja na unaofaa.

  • 1

    Omba Mtandaoni
    Jaza fomu yetu rahisi ya maombi mtandaoni.

  • 2

    Pokea Simu
    Muhudumu wetu atakaupigia simu ndani ya masaa 24 kuhakiki baadhi ya taarifa kutoka kwako.

  • 3

    Tembelea letu
    tembelea letu kufungua akaunti na taratibu zaidi za mkopo.

  • 4

    Kupata mkopo
    Mkopo wako utakamilika ndani ya siku 5 za kazi endapo taratibu zote zitakuwa zimekamilika.

Anza maombi yako

Kutuma maombi ya mkopo kwetu ni mchakato wa moja kwa moja na unaofaa.


Maswali yaulizwayo mara kwa mara

Ndio, unaweza kulipa mkopo wako kabla ya muda wa mkopo kuisha.

Tunafurahi kuzungumza nawe

Weka namba yako ya simu tukupigie