FINCA Microfinance Bank Limited Tanzania inafuata kanuni za uwazi katika nyanja zote za shughuli zake, ikiwa ni pamoja na utendaji wa kifedha.
Uoneshaji Taarifa za kifedha kwa kina kuhusu – FINCA Microfinance Bank Limited Tanzania
Taarifa za kifedha kutoka kwa kampuni mama ya FINCA Microfinance Bank Limited Tanzania, FINCA Impact Finance, zinaweza kupatikana kwenye tovuti ya FINCA Impact Finance.