hatua 3 kabla ya kuchukua mkopo

Mkopo ni nini? - Mkopo ni kiasi kinachopokelewa kwa sharti la kulipwa ndani ya muda uliokubaliwa awali na kulingana na ratiba iliyokubaliwa awali kwa hatua au kwa mara moja, kwa kawaida pamoja na kusanyo la riba.

Kukopa kunatoa fursa ya kuratibu malengo yako: kuanza au kuendeleza biashara, kupata elimu, kununua au kurekebisha nyumba, nk. lakini wakati huo huo ni uamuzi unakufanya uwajibike.

Zifuatazo ni hatua 3 kabla ya kukopa pesa (kabla ya kuchukua mkopo):
  • 1
    Jiulize kwa nini unahitaji mkopo: Je ni kwa ajili Kwa biashara yako? Kuboresha nyumba? Elimu?
  • 2
    Elewa gharama: Je utalazimika kulipa riba ya kiasi gani?
  • 3
    Angalia njia mbadala. Finca inakujali WEWE. Tafuta mkopo mzuri zaidi kwa ajili ya malengo yako - tuna uhakika, utakuwa nasi!