Jifunze

Pata habari ambazo ni muhimu na zinazokusaidia kufanya maamuzi binafsi na ya kibiashara

  • Tunaamini kuwa kuwezeshwa kifedha huanza na maarifa pamoja na vifaa sahihi. Ndiyo maana tunafurahi kukuwezesha kwa vitendo na hii itakusaidia kudhibiti fedha zako: fomu yetu ya bajeti ipo kwa mfumo wa Excel ambayo ni rahisi kutumia na pia ni bure kabisa.

  • Pamoja loan ni mkopo wa kikundi kutoka benki ya FINCA wenye lengo la kuwawezesha wamiliki wa biashara ndogo ndogo ambao wameshindwa kufikiwa na huduma za kibenki.

  • Mkopo ni nini? - Mkopo ni kiasi kinachopokelewa kwa sharti la kulipwa ndani ya muda uliokubaliwa awali na kulingana na ratiba iliyokubaliwa awali kwa hatua au kwa mara moja, kwa kawaida pamoja na kusanyo la riba.

  • Bajeti ni mpango unaouandaa ili kuamua jinsi utakavyotumia pesa zako kwa muda fulani (kila siku, wiki, mwezi, mwaka) na mpango huu unakuonyesha: ni kiasi gani cha pesa unachotengeneza na jinsi unavyotumia.

  • Kuchukua mkopo ni jukumu kubwa linayohusiana na kutaka kukamilisha hitaji fulani. Ni muhimu utafute njia mbadala ya tofauti, ulinganishe na uchague mkopo ambao unafaa zaidi mahitaji yako na unakufaa kulingana na bei: yaani, gharama ambazo utalazimika kulipa wakati wa mkopo.

  • Mgawanyo wa gharama kwa vitu vya lazima na visivyo vya lazima ni muhimu sana katika kupanga bajeti. Hapa kuna vidokezo vya jinsi ya kutenganisha gharama za lazima na zisizo za lazima.

  • Kuhifadhi ni kama kukusanya vitu kwa ajili ya baadaye. Kuna njia mbili kuu za kuweka akiba: unaweza kuweka akiba nyumbani au kwenye akaunti ya benki