BIDHAA ZA MKOPO
FINCA Microfinance Bank Limited inakupa uwezo wa kukuza biashara yako na kuwekeza kwenye mustakabali wako. Bidhaa zetu za mkopo ni rahisi na zimebuniwa katika mahitaji ya kipekee kwa kila mteja. Mara tu baada ya kuidhinishwa kwa bidhaa yetu yoyote ya mkopo, unaweza kupata fedha ndani ya siku tatu za kazi.