Misheni

FINCA inamaliza umaskini kupitia masuluhisho endelevu na makubwa yanayoendeshwa na tafiti na mahitaji ya watu katika jamii wanamoishi na kufanya kazi.

Dira yetu duniani

Ulimwengu ambao watu wote wana fursa ya kutumia maarifa, vipaji na bidii zao katika kuamua hatima zao wenyewe.

Lengo letu

Lengo letu ni kuwa benki ya kitofauti iliyojijenga kwenye msingi ya jamii ambayo hutoa huduma za kifedha zenye ubunifu na zenye matokeo chanya ya kuwawezesha watu binafsi na jamii zenye kipato cha chini kuwekeza katika maisha yao ya baadaye.