KARIBU KWENYE UKURASA WA NAFASI ZA KAZI WA BENKI YA FINCA

Benki ya FINCA inakaribisha wahitimu na wanataaluma wenye kujituma na maono ya kujenga vyema taaluma yao katika sekta ya kibenki, kama unaendana na maono haya unaweza kuomba sasa nafasi ya kazi iliyowazi FINCA.

KWANINI KUJIUNGA NA TIMU YETU YA IMARA?

  • Jiunge na taasisi ya kifedha inayoangalia mbele.

  • Kuwa sehemu ya sekta yenye nguvu ya huduma za kifedha.

  • Fanya kazi kwa chapa inayojulikana kimataifa.

  • Fanya athari katika shirika linaloongozwa na misheni.

  • Tumia fursa za maendeleo ya kitaalam.

NAFASI ZA KAZI ZILIZO WAZI

Tazama hapa chini fursa za kazi na nafasi za kujitolea