Mkwanja Akaunti

Salama na uhakika kwa fedha zako

Tunakuletea akaunti ya kufanya miamala mbalimbali ambayo inakufaa zaidi na kukuhakikishia usalama wa uwekezaji wakofedha zako.

Vigezo na masharti

Lengo letu ni kufaidisha kila mteja kwa masharti maalum yaliyoundwa ili kutimiza malengo yao vyema.

  • Hakuna ghrama kwenye kuweka fedha.
  • Gharama za uangalizi wa akaunti ni shilingi 1,770 tuu kwa mwezi.
  • Utapata taarifa ya akaunti yako bure kabisa kwa wakala wetu wa FINCA Express.
  • Unaweza kutoa au kuweka fedha kwenye akaunti yako kwa kutumia njia tofauti kama vile tawi la FINCA, Wakala wa FINCA Express, TISS, kwa kutumia simu yako ya mkononi yaani FINCA Mobile na FINCA MasterCard.
  • Tunaweza kukufungulia akaunti hii popote ulipo.
  • Gharama ndogo zaidi za kutoa fedha kulinganisha na benki nyingine.
  • Utapata ujumbe mfupi wa meseji bure kwa kila muamala utakaofanyika kwenye akaunti yako.

Inavyofanya kazi

Ni hatua rahisi na haraka zaidi

Kitu pekee unachohitaji ni
  • Kuwa na umri usiopungua miaka 18.
  • Uwe na kitambulisho au namba ya NIDA.
  • Tembelea tawi letu ndania ya muda wa kazi kufungua akaunti hii.

Anza maombi yako

Kuomba ni mchakato wa haraka na moja kwa moja.


Maswali yaulizwayo mara kwa mara

Ndi, kwa kujaza fomu fupi iliyopo kwenye ukurasa huu.

Ndi, kuna gharama kidogo za uangalizi kulinganisha na benki nyingine(Shilingi 1,770 pekee kwa mwezi).

Ndio, unaweza kuifikia akaunti yako kupitia simu yako ya mkononi yaani FINCA Mobile.

Ndio, utapokea ujumbe mfupi kwa kila muamala utkaofanyika kwenye akaunti yako. Hii ni kwa usalama zaidi.

Tunafurahi kuzungumza nawe

Weka namba yako ya simu tukupigie