Mtandao wa mawakala wetu wa FINCA Express unakuwezesha kupata huduma mtaani kwako ulipo bila kufika kwenye tawi.
Wanapatikana mtaani kwako, hakuna haja ya kufika tawini.
Pata taarifa kamili kwa ufikiaji rahisi n wa huduma zetu.
Ada Za Miamala
Mawakala wa FINCA hufanya miamala ya FINCA, kuwasaidia wateja kuona salio na kuwasaidia kuweka akiba.
Miliki biashara iliyosajiliwa na yenye leseni, uwe na anwani ya mahali ulipo, fungua akaunti ya FINCA, umri wa miaka 18 na kuendelea.
Kamisheni kubwa na ya kuvutia hutolewa.
Weka namba yako ya simu tukupigie