NJIA YA KIOTOMATI YA DIJITI (DFA)

Kuibadilisha FINCA kutoka kwenye uendeshaji wa kizamani kwenda kwenye suluhisho na uendeshaji wa kidijitali

NJIA YA KIOTOMATI YA DIJITI (DFA)

DFA inairuhusu benki kutoa uzoefu thabiti kwa wateja – wateja hawahitaji kutembelea tawi la benki kwa ajili ya kuomba mkopo – tunatoa huduma za fedha nyumbani kwako au mahali pako pa biashara.

SIFA ZA KUKOPA NA UCHANGANUZI WA DATA

Teknolojia ambayo inaongeza ufanisi katika kuandaa mkopo kwa kuzingatia tabia za mkopaji kuhusiana na historia yake ya ukopaji.

NJIA ZA HUDUMA ZA BENKI KIDIJITI

HUDUMA ZA BENKI MTANDAONI

Je, unahitaji kufanya shughuli za kibenki popote ulipo? Huduma ya Benki Mtandaoni ya FINCA inakupa uwezo wa kusimamia akaunti yako, kutuma na kupokea fedha na kulipa.

KUFANYA MIAMALA YA KIBENKI KWA WAKALA– FINCA EXPRESS WAKALA

Unaweza kufanya shughuli za kibenki karibu na nyumbani kwako au eneo lako la biashara bila kwenda katika tawi la benki. Ruhusu mawakala zaidi ya 150 wakuhudumie katika maeneo yaliyoko Tanzania nzima.

JIFUNZE ZAIDI