Ndugu Mteja, Benki ya FINCA ina furaha kukufahamisha kuwa ina njia mbalimbali za kupokea malalamiko na maoni yoyote yanoyohusu huduma zetu za kibenki, pia yatatumika kuboresha huduma zetu katika matawi yetu.

FINCA ni benki inayotoa huduma bora zaidi kwa wateja wake na kuleta tofauti ya kihuduma muda wote. Hivyo tungependa kujua endapo unafurahia au unatatizwa na huduma zetu kwa kuleta maoni au malalamiko kutumia mawasiliano yafuatayo;

Huduma kwa wateja

Ndugu mteja kwa maoni au malalamiko tafadhali
tembelea tawi lililo karibu nawe au wasiliana
na ofisi ya huduma kwa wateja kupitia namba:
+255 (0) 755 980 350

Tafadhali tembelea;
Tovuti: www.finca.co.tz au
Barua Pepe: info@finca.co.tz

Endapo hujaridhishwa na huduma zetu za kibenki kutoka kwa wahudumu wetu tawini.Tafadhali tumia utaratibu huu wa kupata suluhisho la tatizo mpaka litatuliwe.

  • Hatua ya 1: (Siku 1-3 )
    Tafadhali tembelea tawi letu lililo karibu nawe na wasilana na Meneja wa tawi.

  • Hatua ya 2: (Siku 4-10 )
    Tafadhali wasiliana na kitengo cha huduma kwa wateja kwa kupiga namba : +255 (0) 755 980 350

  • Hatua ya 3: (Siku 11-21)
    Tafadhali wasiliana na Afisa Mkuu wa Biashara kwa kupiga namba : +255 (0) 743 937903

Endapo hujaridhishwa na namna benki imetatua malalamiko yako kama hatua zilivyoelekezwa hapo juu waweza kuwasilisha malalamiko yako kwenda Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa kujaza fomu ya malalamiko inayopatikana kwenye tovuti yetu ambayo ni www.Finca.co.tz na kuiwasilisha kwa njia ya mkono au posta na viambatanisho husika vyote kwenda anuani ifuatayo.

Dawati la Suluhisho La Malalamiko,
Katibu Mkuu,
Benki Kuu Ya Tanzania,
2 Mirambo Street
11884 Dar es Salaam
Nukushi: +255 22 223 4067
Namba ya simu: +255 22 223 4

COMPLAINT AND SUGGESTIONS FORM