FINCA Microfinance Bank inakupa mamlaka ya kujenga uhuru wa kifedha. Kuweka akiba kwetu ni rahisi na kunalenga mahitaji binafsi ili kukidhi mahitaji yako. Tunatoa chaguzi nyingi, ikiwa ni pamoja na Akaunti za Miamala na Akaunti za Muda Maalumu ambazo zinakupa nafasi ya kuweka akiba kwa maisha yako ya baadaye wakati huo huo ukipata kipato cha ziada kutokana na faida.

Kuwa na akaunti FINCA Microfinance Bank Limited kunakupa uwezo wa kuchukua fedha zako katika matawi zaidi ya 20 Tanzania nzima, kupitia huduma za benki mtandaoni za FINCA na kupitia Wakala wetu wa Mtandao wa Benki katika vituo zaidi ya 150 vya FINCA Express Wakala vilivyopo karibu na biashara au nyumba yako.

AKAUNTI ZA AKIBA ZA BENKI YA FINCA