
ANZA KUWEKA AKIBA LEO NA FURAHIA FAIDA BAADAYE
*150*88#
HaloYako ni bidhaa ya fedha ya kidijiti iliyobuniwa na Benki ya FINCA Microfinance Bank kwa kushirikiana na Viettel Tanzania (inayojulikana kama Halotel) kwa ajili ya wateja wa simu za mkononi. HaloYako inawawezesha watumiaji kuhifadhi fedha zao kwa usalama na kukufurahia upataji wa mikopo midogo papohapo.
HALOYAKO INAWAPA WATEJA AKIBA NA (HALO SAVINGS) NA MIKOPO MIDOGO (HALO LOAN) KIGANJANI MWAKO
HALO SAVINGS:
- Bidhaa iliyobuniwa kuwawezesha wateja kuhifadhi fedha zao kwa usalama na kuzipata bila usumbufu bila ya gharama yoyote.
KUNA AINA MBILI ZA HALO SAVING:
- Akiba ya Msingi: Akaunti ya Akiba ya Dijiti yenye taarifa za viwango
- Akiba ya Malengo: Akaunti ya Akiba ambayo inawawezesha wateja kuweka akiba kwa muda unaoamua
FAIDA ZA HALO SAVING
- Usalama: Fedha zinatunzwa kupitia ulinzi wa nywila
- Rahisi kutumia: Kupata huduma kwa urahisi mkononi mwako
- Bure: Hakuna gharama za siri na pata faida za kiushindani zinazoongezeka kila mwezi
- Hakuna ukomo: Fanya miamala mingi kadri upendavyo
HALO LOAN:
- Bidhaa iliyobuniwa kutoa fedha za ziada unapozihitaji, mkononi mwako wakati wowote, mahali popote
FAIDA ZA HALO LOAN
- Ada ya Mkopo asilimia 10% na umiliki wa mwezi mmoja
- Rahisi kutumia na salama
- Haraka: Pokea fedha ndani ya dakika moja
MASHARTI YA HALO YAKO
Lazima uwe mteja wa Halotel aliyesajiliwa katika huduma za HaloPesa
NAMNA YA KUJISAJILI NA HALOYAKO
Mteja wa HaloPesa anaweza kujisajili na HaloYako kwa kupiga *150*88# na kuchagua 7 kwa ajili ya HaloYako
JINSI YA

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
MAELEZO YA BIDHAA
SHUGHULI NA KYC
ALANCES
KISHERIA NA UTII
