Pata Huduma za Benki Popote Ulipo kwa kutumia Huduma za Benki Mtandaoni za FINCA na furahia uhuru wa kutuma, kupokea, kulipia huduma mbalimbali na kufanya mengi zaidi kwa kubofya kwa kidole chako, mahali popote na wakati wowote.
Piga * 150 * 19 # na fungua uwezekano wa kupata Huduma za benki bila ya kwenda kwenye Tawi.

FAIDA

  • Zinapatikana kwa saa 24 za siku kwa wiki nzima

  • Ni salama kutumia kwa kuwa inalindwa na PIN

  • Haina usumbufu na rahisi kwa mtumiaji

  • Ada ndogo za uendeshaji

  • Unapata kwa urahisi taarifa zako za Benki

  • Tuma na kupokea fedha papo hapo kupitia kwenye Benki na Telecoms Mobile Money Wallets

  • Kulipia bili na huduma mbalimbali kama umeme, bili za maji, malipo ya usafiri na nyingine nyingi

  • Nunua muda wa maongezi kwa ajili yako au uwapendao