FUNGUA AKAUNTI BILA YA USUMBUFU

Huduma yetu ya malipo inatoa masuluhisho kwa changamoto zako za kiutawala na kifedha kama mwajiri wakati wakati unalipa mishahara kwa wafanyakazi wako kwa gharama ndogo kwa kuondoa kazi za maandishi na kuimarisha ulinzi, wakati huo huo ukiwapa wafanyakazi huduma bora na thamani kwa bidii yao ya kazi.

FAIDA

KWA MWAJIRI:

  • Ushughulikiaji wa haraka wa mshahara kwa muda mfupi
  • Usalama wa uhakika
  • Gharama ndogo
  • Kuendeleza kuridhika na ustawi wa wafanyakazi

KWA MWAJIRIWA:

  • Urahisi na Usalama
  • Usimamizi bora wa kipato

MAMBO YA NYONGEZA

  • Huduma ya kipekee kwa mteja
  • Nafuu
  • Uwezo wa kubadilika
  • Mameneja Uhusiano wanaojituma